Hesperian Health Guides

Hesperian HealthWiki


Ni marufuku kuuza au kusambaza mafaili haya katika mfumo wowote ule kwa lengo la kujipatia faida bila idhini kutoka Hesperian. Ukitumia vifaa hivi katika mandhari ya elimu, tafadhali wapongeze Hesperian. Kwa maelezo zaidi tafadhali rejelea hati miliki yetu ya uwazi na uwajibikaji.

coronavirus fact sheet


Tumia maelezo ya kuaminika ya Hesperian ili upate majibu ya maswali yako ya afya. HealthWiki inatumia njia rahisi ya kutafuta majibu na ni rahisi kuongeza maneno yako.


Tumia kitufwe cha katafuta (bar search) kwenye kona ya juu kulia, au vinjari sura zilizoorodheshwa chini, ukichunguza mada moja na kwenda mada nyingine.

Unapenda unachokiona? Tafadhali toa mchango wako kwa Hesperian, ili huduma hii iendelee kupatikana kwa bure. Maswali au maoni? Email yetu: [email protected].


two women look at a computer.
Sw cover nwtnd.jpg Toleo Jipya: Mahali Pasipo na Daktari
Sura za kwanza za kitabu chetu mashuhuri, toleo jipya la karne ya 21.


Sw cover haw.jpg Juhudi za Afya kwa Wanawake
Mwongozo huu unajumwisha shughuli, mikakati na visamafunzo ambavyo vinatoa msukumo katika kukabiliana na changamoto ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake, kuboresha upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango, kukuza uzazi salama na kuboresha afya ya ujinsia, kukabiliana na wajibu na majukumu ya kijinsia ambayo yanawakandamiza wanawake, na kuboresha huduma za afya kwa wanawake na wasichana kwa ujumla.
women gathered around a book.
Sw cover-wwhnd.jpg Pale ambapo Wanawake hawana Daktari
Mwongozo muhimu ambao unasaidia jamii kuelewa, kutibu, na kuzuia matatizo mengi ya afya ambayo huwaathiri wanawake. Mada zilizomo ni pamoja na afya ya uzazi, vurugu, afya ya akili, VVU, na nyinginezo.


En cover-ehb.jpg Mwongozo wa jamii juu ya afya ya mazingira
Maelezo, shughuli, na maelekezo kwa ajili ya jamii ili waweze kusimamia afya ya mazingira yao.